Rais Jakaya Kikwete (kulia), akiteta jambo na Aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba
SIRI
kuu ya kujiuzulu uenyekiti katika Chama cha Wananchi (CUF), Prof.
Ibrahim Lipumba, imeanza kufichuka. Anaandika Saed Kubenea … (endelea).
Taarifa
kutoka serikalini, ofisi kuu ya CCM, Lumumba, Idara ya Usalama wa taifa
(TISS) na kwa watu waliokaribu na Prof. Lipumba mwenyewe zinasema,
kiongozi huyo amejiuzulu ili kulinda ajira ya mmoja wa maswahiba wake
wakubwa serikalini.
“Prof.
Lipumba amejiuzulu baada ya wakubwa ‘kufika bei’ ili kulinda kibarua
cha mmoja wa vigogo kutoka idara nyeti serikalini, ambaye ni swahiba
wake wa karibu,” ameeleza mmoja wa viongozi wajuu kutoka serikalini.
0 comments:
Post a Comment