Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akimpongeza Mgombea Urais wa Zanzibar wa
UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, baada ya
kuchukua Fomu za kuwania nafasi hiyo, leo Agosti 24, 2015, kwenye
Ukumbi wa Salama, Bwawani, Zanzibar.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment