
Leo hii majira ya saa 11:30hrs majambazi 4 wote raia wa Zambia,
wakiwa na silaha SMG na STERLING GUN walivamia mfanyabiashara mmoja
dukani kwake Tunduma Wilaya ya Momba ambako, waendesha bodaboda
wakiripoti tukio hilo u jambazi, bila kuchelewa wananchi kwa
kushirikiana na Polisi walikwenda kupambana na majambazi hao (Live) na
mapambano hayo yalidumu kwa zaidi masaa mawili na mwisho wa mapambano
majambazi walizidiwa nguvu na waliokamatwa na bundiki zao mbaroni.



Ugan



Ugan
0 comments:
Post a Comment