Monday, August 24, 2015

Licha ya Baraza la sanaa nchini (BASATA) kuiruhusu kampuni ya Lino Internation Agency kuendelea na shindano la Miss Tanzania baada ya kuwa kifungoni kwa sababu za kukiuka baadhi ya taratibu lakini vyanzo vyetu vya taarifa vimebainisha kuwa mashindano hayo kwa mwaka huu hayatakuwepo.
Akiongea na mtandao wa www.somahabari.com Hashim Lundenga mmoja wa viongozi wa kampuni ya Lino amedhibtisha kuwa mwaka huu mashindano hayo hayatafanyika labda mwaka ujao na kuendelea.

Vyanzo vyetu vimebainisha kuwa chanzo kikuu ni mvutano uliopo baina ya wakurugenzi wa kampuni hiyo na sekeseke lililowapata kutokana kashfa ya mmoja wapo kudanganya umri.
Hata hivyo Lundega alisema "mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi,hivyo ni vigumu kuingiza kuingiza masuala ya ya urembo,kwa kuwa mchakato wa kumpata mrembo huchukua muda wa miezi minane kuanzia kusajili mawakala,ngazi za vitongoji,kanda mpaka mashindano ya kitaifa.Hivyo mashindano yatakuwa mwakani ikiwa 

0 comments:

Post a Comment