Posted by Williammalecela.com on Tuesday, August 25, 2015
 |
| Mheshimiwa Lau Masha Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani na mshauri Mkuu wa Lowasa, leo mahakamani Kisutu baada ya kukosa dhamana kwenye kesi yake ya kuwatukana Masikini wa Mungu Polisi waliokuwa zamu kituoni Osterbay siku ya Jumapili. |
0 comments:
Post a Comment