Sunday, August 2, 2015

Meya Jerry Silaa wa manispaa ya Ilala ameshinda kwa kishindo dhidi ya wapinzani wake ndani ya jimbo a ukonga katika uchaguzi wa kuomba kuteuliwa na chama cha mapinduzi kugombea ubunge kupitia cha hicho katika jimbo la ukonga katika uchaguzi mkuu wa mwezi oktoba 2015..
Kama kawaida Masama blog inakupongeza sana mhe.jerry silaa tukiamini upele unakaribia kupata mkunaji,yaani jimbo la ukonga litapata mbunge kijana na mchapakazi sana na mwenye dhamira ya dhati ya kuwasaidia wana ukonga.

MATOKEO MENGINE KATIKA MAJIMBO YA UCHAGUZI..

Anthony Mavunde(Dodoma Mjini)
Bonnah Kaluwa(Segerea)
January Makamba(Bumbuli
Fenela Mukangara(Kibamba)
Ridhiwani Kikwete(Chalinze)
Deo Filikunjombe(Ludewa)
Abbas Mtemvu (Temeke)
Idd Azan(Kinondoni)

0 comments:

Post a Comment