Saturday, August 22, 2015

Name:  Kisu.png
Views: 1236
Size:  299.0 KB 
Mauaji ya kutisha yametokea Wilaya ya Bagamoyo siku ya leo. Chanzo cha mauaji haya ni kuhusu talaka na mgawanyo wa mali.
Baada ya kwenda BAKWATA kusuruhishwa Mwanamke (Mwenyendoa) alitaka mali zote aandikiwe yeye na sio watoto
kama ilivyokuwa.Mwanaume ( Mwenyendoa) alichomoa kisu alichokuwa amekificha kiunoni na kumchoma mkewe na yeye kujichoma kisu cha tumboni na kujiwekea mchanga kwenye utumbo uliokuwa umetoka nje ili asiweze kupona kabisa.

0 comments:

Post a Comment