"Hakika
Mungu ni mkuu sana....Mimi ndiye Mgombea wa CCM niliyeshinda katika
Kura za maoni kwa Jimbo la Ukonga DSM,na nimeshinda kwa kishindo fkwa
zaidi ya tofauti ya kura 3000 na zaidi..je nisemeje kuwashukuru wana wa
kata zote ukonga?
Asanteni sana...Mimi ni Ni Mtoto wa Ukonga kwa kuzaliwa,Nimesoma ukonga Shule ya Msingi na kupata kuwa Diwani Mdogo kuliko wote Tanzania kwa kipindi cha mwaka 2010- 2015 na ndiye Meya Mdogo wa Mwaka 2010- 2015 na hatimaye ndiye Mbunge Mdogo mtarajiwa nililiyeshinda Kura za Maoni Mwaka 2015 kwa Ubunge 2015 - 2020 kwa Kura za Maoni Ukonga.Nakuomba chaguo lako liwe ni Jerry Silaa niwe mbunge wa ukonga 2015-2020..Ninahitaji kuwatumikia wananchi wa Ukonga na wanchi wa Tanzania kwa ujumla...."

0 comments:
Post a Comment