Monday, August 3, 2015


Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Ilala. Wameingiza kadi feki, madaftari ya wanachama hayakutumika,
mawakala wangu wamepigwa, mareja hayakufungwa kwa wakati, tumekamata watu na kadi za kura nje ya vituo na kuwapeleka polisi, katibu wa tawi anafundisha watu wampigie kura Zungu, tumekamata watu na kadi feki na kuwapeleka polisi, Idadi ya kura zilizohesabiwa imezidi idadi ya kura zilizopigwa,maeneo mengine uchaguzi uliahirishwa na kupiga tena kura bila ya kututaarifu wagombea wengine.
Nitakata rufaa kwa taratibu za CCM!

Naitakia kila la heri CCM yangu!
Mungu ni Mwema!

0 comments:

Post a Comment