Thursday, August 13, 2015

Davis Mosha aliyepitishwa na CCM NEC kugombea Ubunge jimbo la Moshi Mjini, akiongea na Waziri wa Sheria ambaye pia ni Katibu wa Nje wa CCM Taifa Dr. Asha Rose Migiro walipokutana kwenye mazishi ya Mzee Kisumo leo live!!


Davis Mosha akisalimiana na Waziri Mkuu wa zamani na Makamu wa Kwanza wa Rais Mh. Cleopa Msuya.

Davis Mosha akiongea na Kada wa CCM Richard Kasesela.

0 comments:

Post a Comment