Mh Freeman Mbowe mapema jana akiwa kwenye msafara wa kumsindikiza mgombea wao kuchukuwa fomu ya urais ghafla alizidiwa na kukimbizwa hospitali.Madaktari wamemshauri apumzike katika purukushani hizo.Leo ameongea na wahandishi wa habari kuelezea hali ya maendeleo kuhusu afya yake.
0 comments:
Post a Comment