Posted by Williammalecela.com on Monday, August 31, 2015
 |
| Mjumbe wa Kamati Kuu CCM Taifa na Mgombea Ubunge wa CCM Ukonga Meya wa Ilala Jerry Silaa (Mwenye Suti Nyeusi) leo alipoongoza wananchi kumuaga Marehemu Kimbau aliyekuwa Mbunge wa zamani wa CCM Mafia, aliyesafirishwa leo na Kuzikwa Mafia jioni hii. |
0 comments:
Post a Comment