Posted by Williammalecela.com on Monday, August 03, 2015
 |
"Leo
tumezindua Jogging Club ya Mburahati, pia tumezindua ofisi pamoja na
Miradi midogo midogo, na kuwakabidhi mashine ya Max malipo yenye
thamani ya shilingi milioni moja na laki tano. Nimatumaini yangu
vijana wote tutawajibika ili tujikwamue kiuchumi. Hakuna atakaetusaidia
kama hatujachukua hatua sisi wenyewe." |
0 comments:
Post a Comment