Nimepokea na kuipitia report ya tume niliyoiunda juu ya ubora wa barabara za Lami ktk wilaya ya kinondoni. Bila shaka rushwa imejikita ktk hatua ya mwanzo ya tenda mpaka ujenzi wa barabara zenyewe. Hakika wasomi wetu na watumishi wetu wametuangusha sana. Nimetoa siku 14 kwa mkurugenzi anieleze hatua zipi amechukua na nimeipa takukuru report nayo ichukue hatua. Kama Mkurugezi wangu hata chukua nitaomba mamlaka husika kuwawajibisha wahusika.
Mfano:
Barabara moja iliyopangwa kutumia Milion 450 sasa inatumia bilioni 1.6
kinyume na mkataba na tangazo la tenda lililotolewa wakati husika. Hii
ni aibu na wizi wa wazi. E MUNGU TUSAIDIE


0 comments:
Post a Comment