Thursday, August 13, 2015

Ndikumana mume wa ndoa wa msanii wa bongo movie Irene Uwoya,Mchezaji mpira wa klabu mbali mbali zikiwemo hadi za nchini Uingereza Hivi sasa amesajiliwa
na Stand United ya mkoani Shinyanga timu iliyopanda daraja kuingia ligi kuu Tanzania msimu huu.

0 comments:

Post a Comment