Rais
Kikwete, mgombea Urais Dk. MAGUFULI, LOWASSA pamoja na Freeman Mbowe
wanatarajia kukutana katika mazishi ya muasisi wa TANU na CCM marehemy
Peter Kisumo.Lowassa ni mgombea Urais Chadema mbaye atapeperusha bendera
kupitia umoja wa katiba ya wananchi UKAWA
akishindana na Magufuli aliyeteuliwa na vikao vya juu vya CCM kuwa mgombea wake wa Urais licha kuwepo manung’uniko kuwa uteuzi wake haukufuata utaratibu.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
akishindana na Magufuli aliyeteuliwa na vikao vya juu vya CCM kuwa mgombea wake wa Urais licha kuwepo manung’uniko kuwa uteuzi wake haukufuata utaratibu.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
0 comments:
Post a Comment