Tuesday, August 25, 2015

Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM John Pombe Magufuli amewataka askari wa mgambo watafute kazi ya kufanya kwani
atakapokuwa Rais hakutakuwa na askari Mgambo wa kuwanyanyasa wafanya biashara wadogo wadogo 'Wamachinga'.

0 comments:

Post a Comment