Posted by Williammalecela.com on Friday, August 07, 2015
Ajali iliyotokea wilaya ya Bagamoyo, PwaniGari
la aina ya Fuso T 945 BHZ lilioloanguka maeneo ya makutano ya barabara
ya Kiwangwa na Bagamoyo baada ya kufeli kukata kona likiwa limebeba
kreti za bia.
0 comments:
Post a Comment