Monday, August 3, 2015

Screen Shot 2015-08-03 at 8.04.22 AM
Hapa ni Aunty EzekielMose Iyobo na Diamond PlatnumzSherehe za Birthday nazo zina uzito wake siku hizi, unaambiwa dancer mkali Mose Iyoboambaye ni mmoja wa dancers wa Diamond Platnumz alifanya party yake August 02 2015, wakaalikwa mastaa wengi kutoka Bongo Movie na Bongo Fleva, kiukweli ilipendeza sana.
Aunty Ezekiel ni mzazi mwenzake na Mose Iyobo, kwa pamoja walikutana na marafiki zao na kushereheka party hiyo… kwenye list ya mastaa waliotokea alikuwepo pia Diamond Platnumz na crew nzima ya WCB wakatoa na burudani ya nguvu kabisa. 
Screen Shot 2015-08-03 at 8.04.12 AM

0 comments:

Post a Comment