Tuesday, August 11, 2015

Weekend iliyopita ndugu na marafiki wa karibu wa Flavy walikusanyika nyumbani alikozaliwa na kukulia mrembo huyo mkoani Shinyanga, katika ‘Send-off’ yake iliyofanyika katika hotel ya Vigimark. 
Umebaki muda mfupi kabla status ya mwanamitindo wa kimataifa Flaviana Matata haijabadilika kuwa Mrs.
Flavy ambaye hufanyia shughuli zake nchini Marekani kwa sasa, alivishwa pete ya uchumba na mume wake mtarajiwa ambaye pia ni Mtanzania mwezi November 2014.
Hizi ni baadhi ya picha za Send-off
Photo credit: Nuru The Light /Instagram

0 comments:

Post a Comment