| Mh. Davis Mosha akitete jambo na Hendrew Mpiganaji ngumi za kulipwa wa zamani nje ya ofisi za CCM Wilaya ya Moshi mjini |
| Davis Mosha akiwa na wananchi wa wilaya ya Moshi Mjini |
| Davis Mosha akiwa na Kamanda wa Vijana Wilaya ya Moshi Mjini na Mjumbe wa Mkutano mkuu wa CCM ndugu Agrey Marealle, Nje ya Ofisi ya CCM Wilaya ya Moshi |
Mh. Davis Mosha akiwa na wanachama wa ccm baada ya majumuisho ya matokeo ya awali kutoka kwa mawakala wa vituo kuonesha ameshinda kwa kishindo.
| Waendesha pikipiki wakifurahia ushindi wa Mh. Davis Mosha |
| Mh. Davis mosha akizungumza na wanachama waliokuja nje ya nyumba yake kumpongeza. |
| Mh. Davis mosha hakusita kuonesha furaha yake kwa wapiga kura wake |
| Marafiki na wafanyaiashara Hawakua nyuma kuhakikisha Jimbo linakombolewa. |
| Furaha inapozidi unashindwa kuzungumza na kubaki na zawadi ya Tabasamu. |
| "Nawashukuru sana tuendelee na umoja wetuu" |
| Mh. Davis Mosha akiingia katika Tafrija ya Fmilia ya Mama Anna Mkapa aliyoalikwa kwa heshima. Pembeni ni William Malecela (Le Mutuz) |
| Mh. Rais Mstaafu ndugu Benjamin Wiliam Mkapa akimpa mkono wa Pongezi Mh. Davis Mosha |
| "Hongera sana" |
Mama Anna Mkapa akimpongeza Mh. Devis Mosha
| Mh. Davis Mosha akiingia katika ofisi ya ccm wilaya ya Moshi Mjni |
| Mh. Davis Mosha akikumbatiwa na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya ccm Bi. elizabeth Minde |
| Kamanda wa vijana ccm wilaya ya Moshi Mjini Mh. Agrey Marealle akiingia katika ofisi za ccm Wilaya ya Moshi mjini |
| Wanachama wa ccm wakiwa nje ya ofisi ya cm wilaya ya Moshi mjini |
| Wagombea wakiwa katika kikao cha majumuisho ya matokeo |
| Wanachama na wanahabari wakisubiri matokeo kwa hamu |
| Matokeo ya kura za maoni yakisomwa nje ya ofisi ya ccm |
| Wanachama wa ccm wakishangilia baada ya matokeo kutangazwa |
| Mmoja wa wagombea ndugu Priscus tarimo akimpongeza Davis Mosha baada ya kutangazwa kwa matokeo. |
| Haya ndiyo matokeo rasmi ya kura za maoni |
| Wanachama wakishangilia huku wakitembea na Mh. Davis Mosha |
| Mh. Davis Mosha akiwa katika Maandamano na wanachama wa ccm |
| Furaha inapozidi hata chini nitalala |
| Kilometa zaidi ya sitini bila kuchoka |
| Kila alipopita hakuchoka kusimama na kushukuru wanachama waliomchagua |
| Mh. Davis Mosha akizungumza na wanachama wa kata ya njoro |
| Furaha imepitilizaa |
| Mh. Davis Mosha akiongea na wanachama wa ccm baada ya kutembea zaidi ya kilometa 60 na kumalizia kata ya kiboriloni. |
0 comments:
Post a Comment