Monday, August 24, 2015

Katika kipindi hiki muhimu, kama Taifa, inatupasa tuzingatie: kuvumiliana, kuheshimiana, kukubaliana, kukubali kutokubaliana, kushindana kwa hoja, na kutumia lugha yenye staha. Msaafu Mtakatifu unatukumbusha "....Vivyo hivyo ulimi nao ni kiungo kidogo, nao huvuna majivuno makuu.
Angalieni jinsi moto mdogo uwashavyo msitu mkubwa sana....."Msaafu Mtakatifu unatuonya pia "...kwa maneno yako utahesabiwa haki na kwa maneno yako utahukumiwa...".-Prof. Mark James Mwandosya


0 comments:

Post a Comment