Posted by Williammalecela.com on Monday, August 31, 2015

Msanii
wa muziki wa kizazi kipya Shilole akitumbuiza Jana kwenye mkutano wa
kumnadi Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM kwenye Uwanja wa Sabasaba
mjini Njombe.
Ikumbukwe wiki chache zilizopita shilole alipewa adhabu ya kutojihusisha na shughuli za muziki kwa mwaka Mmoja..
0 comments:
Post a Comment