MSANII
wa kizazi kipya, Snura Mushi, ameweka wazi kwamba kama kazi za
sanaa anazofanya hazitomwendea vema atarudi katika kazi yake ya
ususi.Snura alisema kazi hiyo anaimudu na kama hasingekuwa msanii
angeitumikia hadi leo kwa kuwa haikuwahi kumwangusha kiuchum“Nilikuwa
msusi mzuri kiasi kwamba sikukosa wateja lakini kutokana na majukumu
kunizidi katika sanaa ya muziki na maigizo nimeamua kuikacha kwa sasa
lakini ipo siku nitairudia,” alisema.
Snura
kwa sasa anatamba na wimbo wake wa ‘Najidabua’ aliouachia hivi
karibuni, lakini pia aliwika na wimbo wake wa ‘Majanga’ na ‘Ushaharibu

0 comments:
Post a Comment