BILIONEA DAVID MOSHA AIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI JIMBO LA MOSHI MJINI!
![]() |
| Super Mogul Billionea Davis Mosha kati kati, baada ya kutangazwa mshindi wa Kura za maoni Moshi Mjini juzi, Davis alishinda kwa kura 5,271 75% ya kura zote huku anayemfuatia Boi Safi akipata kura 700 na Buni akipata kura 400. |

0 comments:
Post a Comment