Kumekuwa
na stori ambayo imechukua sana headlines kuanzia mitandaoni mpaka
kwenye Magazeti inayomhusu Diamond, Zari na mtoto wao.
Diamond
amepatikana na kutolea majibu ishu hiyo, barua ya kudai mtoto wake
akapimwe DNA bado haijamfikia na kama ni ishu ya
Kisheria inayohusu
Mahakama amesema ingepitia kwa Wakili au Mwanasheria na sio kupitia
Mitandaoni.
Kingine amesema kwamba Zari hajawahi
kuolewa na wao wameamua kuishi maisha yao na hawezi kufuatilia maisha ya
mtu wala wao kufuatilia maisha ya watu.

0 comments:
Post a Comment