Saturday, August 8, 2015

diamond-na-Tiffah
Picha ya kwanza Diamond Platnumz akiwa na Princess_TiffahSiku ya Jana ilimkuwa ni siku ya Furaha sana kwa familia ya Diamond Platnumz ambapo Zari ambae ni mpenzi wa Diamond alijifungua mtoto wa kike, Mtoto huyu amepata
umaarufu sana kwa muda mfupi katika mitandao ya kijamii hasa instagram ambapo mpaka sasa account yake ina jumla ya Followers 40 elfu. Katika account hii ya @princess_Tiffah imepostiwa picha ya kwanza ikimuonyesha Diamond Platnumz akiwa na mtoto wake.

0 comments:

Post a Comment