daily post nchini kenya liliripoti.Mwanafunzi huyu aliliambia gazeti la daily post la kenya kwamba ana miaka 19 tu kwasasa, na alikua ni bikira mpaka siku alipoenda club usiku na watu wa miaka ya juu hapo chuoni kwake. Alipoamka aligundua mmoja wa watu hao alifanya nae mapenzi bila ya yeye kujua sababu alikua amelewa kupita kiasi.
“nilimuuliza kama alitumia kondom, akasema ndio , sema nilivyoenda kuoga niliona shahawa zake ndipo nilipogundua ulikua ni uongo. nilitamani kujiu kwa kuhofia mimba na ukimwi juu”

0 comments:
Post a Comment