Sunday, August 16, 2015

Mh Juma Nkamia siku ya jana alishangaza wakazi wa Dodoma baada ya kupanda jukwaani na kupiga show na Mzee Zahiri zorro, Mh juma Nkamia aliwakosha wengi waliohudhuria kwenye uzinduzi wa Club 7 kwa staili yake ya kuimba na kucheza.






0 comments:

Post a Comment