Posted by Williammalecela.com on Wednesday, August 19, 2015
 |
| FACTS:-Wananchi MILLIONI 2.7 walijiandikisha kupiga kura mwaka huu Mkoa wa Dar, na kati yao walioshiriki uchaguzi wa kura za maoni za CCM za Ubunge majuzi ni Millioni 1.6: Mikoa ya Shinyanga, Simiyu na Mwanza Wananchi Millioni 8.7 walijiandikisha kupiga kura mwaka huu na kati yao wananchi MLLIONI 5.6 wameshiriki mchakato wa kura za maoni ya ubunge wa CCM. Hizi ni facts zinazojisema wazi kuwa dalili za mvua ni mawingu, mwananchi tumia busara je unataka kura yako uitupe baharini bure? PIGIA CHAMA CHENYE DALILI ZA USHINDI TAYARI!! - Le Mutuz Nation |
 |
| Le Mafurikozz |
0 comments:
Post a Comment