Nilizaliwa wakati wa Utawala wa Mwalimu Kambarage Nyerere Baba wa Taifa, ambaye Serikali yake ya CCM ilitusomesha Wa-Tanzania wote bure kutoka Chekechea mpaka High School, sikujua gharama ya Elimu mpaka nilipofika Ulaya na Marekani na kujisomesha mwenyewe ndio nikaelewa kwamba Chama kilichonisomesha bure ninahitaji kukiheshimu na kukipigania hasa misingi yake ya kuheshimu Ubinadam bila ya kujali mapungufu ya Viongozi wake. Upungufu wa kibinadam wa Viongozi wa CCM hakukifanyi chama kizima kuwa na Upungufu HAPANA! Siasa kama mpira sio mchezo mchafu, mchezaji mchafu hutolewa kwa kadi nyekundu maana yake ni kwamba mchezo ni msafi ila mchezaji ni mchafu so is Politics, lakini siasa sio mchezo mchafu ila sometimes kunatokea Viongozi wachafu ambao kwa vile Misingi ya Chama ni misafi huishia kukimbia wenyewe kwa sababu nyingi za kitoto kumbe ni simply WACHAFU!!
- Now naona kuna wananchi wengi mnaonekana kubabaika ndio maana nimeandika huu waraka kuwahakikishia kwamba mimi ni CCM BLOOD 100% na on those lines sina COMPROMISE wala NEGOTIATIONS au KUSUA SUA, ninakiamini Chama Cha Mapinduzi kwa 100%, ninaiamini misingi ya CCM kwa 100%, na ninamini CCM ndio chama sahihi kushika Dola tena kwenye uchaguzi wa Mwaka huu 2015. Siamini kabisa kuhusu siasa za matusi na kuchafuana, ninaamini in Politics za HOJA na FACTS isipokuwa ikibidi sina tatizo kucheza the game I mean the politics of any kind as they come cause the bottomline is they are just politics and they have to be played out of the lines sometimes.
- Now for that, ninasema hivi I am a CCM 100%, I am a Social Media King na nitatumia kila nguvu and influence niliyonayo kukipigania chama changu CCM kushinda uchaguzi huu Mwezi October/2015 kwenye huo mstari sina Compromise wala kusita au kusua sua it is what it is. Na for sure kampeni ndio zimeanza sasa ninampigania mgombea wa CCM Magufuli na CCM mpaka ushindi upatikane na ninasema tayari tumeshapata ushindi kwa 20%, maana mkutano wa Jangwani na Katavi ni ishara tosha kwamba Ushindi tayari. Kwa wale mlioko upande wa pili please get ready miezi miwili ijayo tutapigana hasa, tutapigania kushika Dola, nawaahidi mtashindwa kwa sababu mmeshashindwa tayari Mikutano miwili tu ya Magufuli mmekimbia majimbo 6 je itakapofikia Mikutano 10 itakuwaje?
- Kwa wale Wananchi mnaodanganywa sana na hawa upande wa pili kwamba kwa sababu sasa wana Lowasa, Sumaye, Msindai, Lembeli, Esther Bulaya, na Mgeja sasa watashinda Dola wakiwa UKAWA msiwasikilize Wazungu wanaita saving face hawa wameshindwa ndani ya CCM wamekimbilia huko ambako hawafanani nako kisa madaraka ni haki yao kisheria, tatizo ni thamani yao kisiasa ni uamuzi wa Wananchi kuamua ila mimi binafsi nitapigana nao mpaka mwisho kuwaelimisha wananchi kwamba hawa hawana tofauti na Yuda Iskariote aliyemkana Yesu kwa ajili ya Shillingi 11 tu, hawa wametukana CCM kwa sababu ya Tamaa ya Madaraka, kumbe walikuwa na sisi kwa sababu ya tamaa tu ya kutawala ni lazima watawale wao tu hata kama wananchi hawawataki kwa sababu hawana sifa za kutosha lakini wao wanadai ni lazima watawale tu, sasa cha kujiuliza ni je wakikosa Madaraka huko UKAWA watabaki huko huko?
- Ninaamini CCM itashinda tena kwa kishindo kikubwa kama haijashinda tayari kwa sababu zifuatazo as FACTS:-
1. CCM chama kimoja tu tuna Wanachama hai Millioni 7, UKAWA combination ya Vyama 4 vina Wanachama hai Millioni 2 1/2 so kura zikipigwa na Wanachama tu CCM tunashinda ndio maana ninasema CCM tumeshashinda tayari isipokuwa imebaki kuapishwa kwa Magufuli kuwa Rais wa AWAMU ya Tano.
2. CCM tuna Matawi 955,000 Tanzania nzima ambayo kwa katiba ya CCM ni lazima yawe na Viongozi 16 kwa kila tawi now chukua matawi 955,000 x 16 = 15,280,000 maana yake ni kwamba CCM ikiamua Viongozi wake tu wa matawi wapige kura na sio wanachama wake tayari tunakuwa tumeshinda uchaguzi leo leo bila hata Magufuli kwenda kuigiza kwenye dala dala.
3. UKAWA mpaka leo siku 58 kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Taifa hawana Katibu Mkuu, hawana Sera, hawana Muongozo, na tayari wameshaanza kugombania madaraka kwenye kugombea majimbo mpaka wameishia kukosa mgombea kabisa kwenye baadhi ya majimbo kutokana na magomvi ya madaraka. Katika siku 58 zilizobaki UKAWA wanatakiwa kujitangaza Tanzania nzima na kwenda kila kitongoji kujisema kuwa wapo na wana Mgombea mpya kutoka CCM waliyekuwa wakimshambulia maisha yao yote kwamba hafai sasa amekuwa mgombea wao na wanasema anafaa, maneno yao yapo, Video zao zipo, na maandishi yao yapo. Katika kampeni zake za kutafuta urais Lowasa hawezi kuongelea Ufisadi na Wizi wa Viongozi kwa hiyo kampeni zake zitakuwa very limited so is UKAWA now hata Viongozi wa UKAWA hawawezi tena kuongelea ufisadi je wataongelea nini? Taifa letu limechafuliwa na Viongozi wachache walafi ambao Magufuli amesema anawafungulia mahakama maalum akishika madaraka, sasa hawa UKAWA wakishika madaraka watafanya nini hasa kama sio kugombea madaraka tu ambayo ndio hasa yamewapeleka huko?
- Kwa kumalizia ninasema CCM ina masikio na macho, tumesikia na tumeona tuna mapungufu tunatakiwa kuyarekebisha tena mengine ni makubwa lakini sio kuwaachia UKAWA umoja wa Viongozi wenye tamaa ya madaraka kushika Dola, HAPANA. Binafsi nitapigana mpaka damu yangu ya mwisho kuhakikisha CCM inashika Dola tena na itashika tu kwa sababu tayari imeshashika 20%!!
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!
LE MUTUZ NATION

Nimeipenda mkuu!!!! Tuko pamoja.👍👍👏
ReplyDelete