Ok kuna mtu amenitumia this message "braza unakera skama nini rafiki yangu, kwa jinsi unavyokishabikia chama tawala had blog yako unamnadi sana, kama hivyo ulivyoweka eti anasubiriwa kuapishwa, unakera kama nini rafiki yangu" now akaona haitoshi akanipigia na simu na kurudia maneno yake tena, nikamsikiliza na kumjibu ifuatavyo:-
nimemuomba kwanza akaanze na Magazeti kama Tanzania Daima na mengineyo mengi ambayo yanaichafua CCM kila siku ingawa mimi simchafui Mgombea yoyote wala Chama isipokuwa ninafuatanilichojifunza USA kwenye Demokrasia ya kweli, kule kuna Radio and TV inayoitwa Fox 5 wao ni mashabiki wa Republican Party na kila mtu US anajua na sio dhambi na wao hawajawahi kuficha wala kujinafikisha, so I am CCM tena 100% sitakupa habari za uongo kuhusu CCM wala Upinzani ila nitakupa habari za kweli tu na FACTS, Kwa mfano mpaka jana UKAWA walikuwa wamepoteza Majimbo 8 ya ubunge kwa kukosa kuweka Mgombea kutokana na mifarakano yao ya ndani ya nani agombee na nani asigombee, Segerea imefikia hatua Mgombea anayetakiwa na Lowasa yaani Mahanga Makongoro hakubaliki na Mgombea wa CUF Julius Mtatiro kwa hiyo wote wamechukua fomu now hizi zote ni FACTS.
Leo nusura UKAWA wakose Uwanja wa kufungulia Kampeni zao Jumamosi kwa sababu ya kuchelewa kuomba Uwanja ontime kisa na mkasa hawana Katibu maana Dr. Slaa hayupo tena. Halafu cha ajabu sana UKAWA mpaka leo siku 57 kabla ya uchaguzi hawana Ilani ya uchaguzi wala Katibu Mkuu wa UKAWA. Ninasema hizi ni dalili tosha za kushindwa uchaguzi kabla haujafanyika. Now sina uhakika kilichomshangaza huyu mtu maana ninazoandika zote ni FACTS sio habari za mtaani na always tunaweka ushahidi, now kama unaipenda sana UKAWA please vumilia maana hapa utapewa habari kamili tu na ushahidi hamna longo longo kama huwezi kusoma namba soma picha basi, hahahahahahahahha na KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!! - Le Mutuz Nation!

BIG UP LEMUTUZZZZZZ WAPE FACT TUUUUUUU,,,,,,,HAKUNA LONGOLONGO,,,,,,CCM NUMBER ONE WATAISOMA NUMBER UKAWAAA A.K.A UKIWA.
ReplyDeleteUMEUA Bro!!!
ReplyDelete