![]() |
| Kina mama 500 na watoto wao wadogo wakiwa wamebanana ndani ya Ukumbi wa watu 1000 kusherehekea kuzaliwa kwa Mgombea wa Urais wa UKAWA leo Millenium Towers live!! |
![]() |
| Baada ya kukosa hewa ndani ya ukumbi huo wakina mama wakiwa wametoka nje kupata hewa na hasa watoto wadogo waliokuja nao live kusheherekea kuzaliwa kwa Mgombea Urais wa UKAWA leo live!! |


0 comments:
Post a Comment