Monday, August 24, 2015

Mariah Carey amepiga mweleka wa nguvu baada ya kuponzwa na viatu virefu alipokuwa matembezini na mpenzi wake billionea mmiliki wa Cassino.Mwimbaji huyo mwenye umri wa  miaka 45 kwa sasa na mama wa
watoto wawili aliozaa na msanii Nick Canon na kuachana,Wamekuwa wakidhulura pamoja na kujibebisha kwa mapenzi yao mapya.


0 comments:

Post a Comment