Friday, August 21, 2015

Mwee Hata siamini ...Nimekutana na hii Picha Mahali eti Wameandika ndio Maimatha Alivyo kwa sasa ...Weupe wote Ule wa Mkorogo umepotea...Kama ni Hivyo Basi
Wadada Mjifunze mkorogo sio Deal ..utapendeza miaka michache tu ...Mkorogo ukisha kuchoka unarudi kuwa mweusi..

0 comments:

Post a Comment