Sunday, August 2, 2015

Usiku wa kuamkia leo kwenye mtandao wa kijamii kumekuwa na sauti iliyorekodiwa maongezi kati ya msanii wa bongo fleva Nuh Mziwanda na msanii wa filamu Wema Sepetu wakiwa wanatongozana.Haijafahamika kwa haraka nani alirekodi maongezi hayo.Shilole mpenzi wa mwanamuziki huyo inadaiwa amezimia baada ya kusikia maongezi hayo.

0 comments:

Post a Comment