Saturday, September 26, 2015

 

                                                 AINA ZA VITAMBI
1. Kitambi Mvurugo -- hiki kitambi kimekaa kama O. Kinapatikana kwa kula sana kitimoto.


2. Kitambi Mchuchumio -- hiki kitambi kimekaa kama herufi D. Kinatokana na kula sana michemsho na bia za ofa.

3. Kitambi Mbonyeo -- Akivua shati kitovu hakionekani. Hiki wanacho wala rushwa. Ila akisimamishwa kazi kinaisha.

4. Kitambi Mtepeto -- Ni kitambi cha wastani ambacho ukivaa nguo pana


hakionekani. kinasababishwa na kula mno viporo.
5. Kitambi Mfumanio: hiki mtu anakuwa hana pesa ila kitambi ni kutokana na minyoo na utapiamlo wa ukubwani.
6. Kitambi Mtunguo: Hiki wanacho sana wadada. Kina umbo la yai. Hiki kwa 'diet' hakitoki labda Kwa Maombi tu

0 comments:

Post a Comment