
Ukiona
Kiongozi Mkubwa Sana (Mstaafu) anashindwa kutofautisha kati ya "LEADER"
na "MANAGER" basi ujue hilo ni janga. Ukiona Kiongozi Mkubwa Sana wa
Kitaifa (Mstaafu) anashindwa kujua RAIS wa Jamhuri ya Muungano ni LEADER
au ni MANAGER ilhali na yeye ashawahi kukaa IKULU ni Baa (yaani zaidi
ya Janga).
RAIS wa Jamhuri ya Muungano ni LEADER, Yeye ndiye mwenye Maono ya kule tunakotaka kufika. Manager ni yule anayemsaidia RAIS kuhakikisha tunafika.Mwalimu wangu Kitila Mkumbo, naomba Usimjibu ndugu yangu Julius S. Mtatiro, maana wote ni sehemu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Mimi kama Mwanajumuia mwenzie namwombea samahani.
Nimeambatisha katika waraka huu mfupi PICHA za kuonesha tofauti ya LEADER na MANAGER, Ili kama maneno hayasomeki basi PICHA zitaonekana.
VIONGOZI WANAOKAMIA MADARAKA KWA KUJIPAMBANUA NAMNA HII NI JANGA NA BAA KWA TAIFA LETU. SIDANGANYIKI. PIA NAOMBA MSITUKANE NASIKIA KUNA SHERIA INAZUIA KUTUKANA MTANDAONI IMEANZA KUTUMIKA SIJUI LEO NADHANI.

0 comments:
Post a Comment