Thursday, September 10, 2015

"Kuna tofauti kubwa sana kati ya hawa Wasanii wa Bongo Fleva, mmoja anaitwa Roma Mkatoliki alishaacha Muziki kwa kushindwa kabisa kuvutia Vijana mashabiiki wa Bongo Fleva, lakini Prof. Jay ni Msanii mkubwa anayejitambua na mwenye soko kubwa la Wananchi wote wa Tanzania ndio maana pamoja na kujiunga mapema na UKAWA hajawahi kuimba wimbo kama mwenzake looser, au Oil Chafu ya Bongo Fleva!" - Super Star Raper Bingo

0 comments:

Post a Comment