Monday, September 7, 2015

Napenda kuwaomba radhi wasomaji wote wa our blog kutokana na matatizo mbali mbali ya kutupata in the last 3 Days, ni matatizo yaliyokuwa nje ya uwezo wetu kutokana na marekebisho kwenye kubadilisha utumuaji wa Internet ya kawaida kuhamia kwenye Fiber System. Again, ninawaomba radhi sana kwa matatizo makubwa ya kutopata blog hewani lakini marekebisho yanakamilika leo na ni matumaini yangu kwamba hakutakuwa na matatizo tena. - Le Mutuz Nation

0 comments:

Post a Comment