Posted by Williammalecela.com on Wednesday, September 02, 2015
 |
| Picha za Maandamano ya Wananchi wa Kinondoni wanaodai kuwa ni Wanachama wa Chadema, wakiimba nyimbo za kutaka kujitoa Chadema kutokana na maneno ya jana ya Dr. Slaa walikuwa wakielekea Makao Makuu ya Chadema. Tutawaletea habari zaidi soon!! |
0 comments:
Post a Comment