Stori: Richard Bukos aliyekuwa Kagera
UNAZI!
Kundi kubwa la vijana wa kike na kiume, mwanzoni mwa wiki iliyopita
walizua kizaazaa baada ya kumgombea kumuona kwa karibu na kutaka
kuzungumza na mkali wa muziki wa Kizazi Kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond
Platinumz’ mara baada ya kumaliza kutumbuiza katika mkutano wa kampeni
wa Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli
uliofanyika katika Viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba.
0 comments:
Post a Comment