Hatimaye
kesi nzito na ngumu iliyokuwa ikimkabili Emmanuel Mbasha, mume wa
mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha ya kumbaka shemeji yake,
imemalizika juzi kwa Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Ilala kumwachia huru na
yeye mwenyewe kutamka kuwa Mungu ametenda!

Emmanuel Mbasha akilia kwa furaha baada ya hukumu hiyo.
Emmanuel Mbasha akilia kwa furaha baada ya hukumu hiyo.
0 comments:
Post a Comment