|
#Baraza la #mawaziri kuwa na #wizara15 Rais John Pombe Magufuli anategemewa muda wowote kuanzia sasa kutangaza baraza lake dogo la mawaziri makini litakalokuwa na wizara 15 tu. Itakumbukwa baraza lililopita lilioundwa January 2014, lilikuwa na wizara 30 zenye manaibu 23.
Mwaka 2005 Kikwete aliunda wizara 29 zenye manaibu 31, kabla ya
kulivunja baraza hilo mwaka 2008 na kuunda baraza dogo zaidi likiwa na
wizara 26 na manaibu 21.
Chanzo: Nipashe, Majira, Jambo Leo. |
Friday, September 25, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment