Thursday, September 3, 2015

Safari ya Chadema ni sawa na treni, inayoanzia Dar es Salaam kwenda Kigoma. Njiani watu wakageuka, na wakaendelea kugeuka katika vituo vingine vya njiani. Sisi tunaendelea. Chadema sio ya Mbowe, hakuna aliye juu ya Chadema, Mbowe ataondoka wengine watakuja, watatoka wataingia na Chadema itabaki pale pale. Anayefikiri yeye ni mkubwa hana nafasi... Kamati Kuu (CC) iliamua, na Mkutano Mkuu uliamua vilevile kuwa Lowassa awe mgombea wa nafasi ya urais. Kama kuna watu wana mawazo tofauti watatukuta mbele ya safari," alisema Mbowe wakati akizungumza kwenye mkutano wa kampeni mjini Sumbawanga jana.

0 comments:

Post a Comment