Wednesday, September 9, 2015

 Morning Guys jana kwa mara ya kwanza nimemkumbuka Mwalimu Nyerere kwamba "wakishindwa kwenye kununua kura watajikita kwenye Udini" the whole Show was about Lowasa kutafuta kura kwa kutumia njia ya Dini na all Gwajima was doing there ilikuwa ni kuwaudhi Viongozi wa Catholics, na Islam kwamba Dr. Slaa amewatukana kwa kutumwa na Serikali ya CCM..leo Gwajima amesahau jinsi alivyomtukana Kadinali Pengo matusi ya nguoni kwa kutumwa na Mgombea mmoja wa Urais aliyetafuta Support ya Muadhama Pengo lakini akakataliwa kwa sababu hana Maadili jana Gwajima amebadilika eti anawaonea huruma Viongozi wote wa Catholism Tanzania kwa sababu ya Dr. Slaa shame on all of us...now Gwajima supposedly ni Askofu aliyevunja Ndoa ya muumini wake Imma Mbasha jana was good enough kujadili ndoa ya Slaa? hahaha jamani jana ndio nimeamini sana kwamba hili taifa tunahitaji mabadiliko ya Rais mjeuri kidogo kama Magufuli I mean can you imagine Rais wetu amezungukwa na Marafiki kama Gwajima? Ohhh please God help us na this Catasrophe...jana kwa mara ya kwanza nimekidharau Chadema ni Chama gani ambacho kinaongozwa na kina Gwajima? How did this funny man penetrates mpaka kufikia mahali pa Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi anapotaka kujiuzulu anamuandikia ujumbe wa simu Gwajima badala ya Mwenyekiti wake na Kamati Kuu ya Chama? Kweli Chadema mnataka tuwape Taifa liwe chini ya Gwajima?...Hivi wananchi wenzangu mliokuwa mnaangalia this whole Show mnaelewa kinachoendelea au unashangilia tu kama mwendawazimu? Unataka tuwe na Rais atayekuwa anashauriwa na Gwajima ambaye kila mazungumzo na mtu anamrekodi kwa siri so Lowasa amerekodiwa mara ngapi na Gwajima? Akiwa rais ni guarantee gani kwamba hakuna siku moja atamuanika kama alivyofanya jana?..Halafu toka lini mtu kama Gwajima akawatukana Usalama wa Taifa in the National TV kama jana? What went wrong with this Nation? Hivi kweli watu tulioenda Shule Tanzania kweli mnataka kuamini yaliyotokea jana ni madogo? Jana tumeidhinisha mufilisi wa maadili katika hili Taifa kwamba a funny man like Gwajima kwanza ni askofu na pili anaweza kulisimamisha Taifa for 3 hours na pure nonsense at our National TV? - le Mutuz

1 comment:

  1. Well said bro! Yaani sielewi ni kwa nini watu hawapati hata dakika moja kutafakari! Upumbavu wa huyu anayejiita ASKOFU jana umenichafua sana na umeliweka kanisa la Tanzania katika wakati usiofaa, Hivi ni nani atakayekuwa na mawazo kupeleka jambo lolote kwa watumishi hawa akitaraji faraja!!!! Kha Kha...
    Unawezaje kuweka KURA yako kwenye chama ambacho mambo yote yamesiriwa kwa askofu anayejiita eti MJANJA!!! Watanzania wanahitaji kutafakari.

    ReplyDelete