Wednesday, September 23, 2015

 Morning Guys ok leo naomba kuwasaidia baadhi ya Wasanii ambao mmeshindwa kutumia Vipaji vyenu kujiendeleza sasa Vipaji vimekwama mnawalalamikia Joseph na Ruge binafsi inanisikitisha sana kwamba binadam mmoja anawezaje kuwa mjinga na kushindwa kabisa kufikiri kwamba katika Historia ya Tanzania toka tupate Uhuru ni hao Watu wawili tu waliojitoa maisha yao kuwekeza kwenye Muziki wengine wote
wameshindwa badala yake wamekuwa wakisubiri Joe na Ruge watafute Vipaji wao waje kuwachukua bila kuwekeza so far it has never worked but it has worked na Wasanii wote waliobaki nao....Michael Jackson akiwa bado hajatoka alisaini mkataba na Quincy Jones ambao mpaka leo huyu Mzee anavuta $ 50Cents ya kila Dola Moja anayopata Michael kutokana na Muziki wake hata pamoja na kufa bado Quincy anavuta pesa yake lakini Michael amekufa akiwa Tajiri mara 100 ya Quincy WHY? ni kwa sababu Michael alikubali kwamba hana ujanja wa wa kuingia soko la Muziki bila Quincy lakini alijua kwamba akikubali kuibiwa na Quincy Kipaji chake kikafahamika Milango mingi ya kupata pesa kwa kipaji chake itafunguliwa huku akiendelea "kuibiwa" kwenye muziki wake....mfano mzuri ni Diamond muziki umemfungulia milango ya kufanya Zari White Party na juzi mtoto wake kudhaminiwa na NMB kwa picha ya kwanza ya Sura ya mtoto wake now kama una AKILI KUBWAZZ kama yangu na wewe ni msanii unatakiwa kujifunza from hii mifano kwamba hizi deal za Diamond hazihusiani kabisa na Contract za kipaji chake at muziki...David Beckham na Michael Jordan wametengeneza na wanatengeneza mpaka leo pesa nyingi nje ya Vipaji vyao lakini ni Vipaji vyao ndivyo vilivyofungua milango ya pesa kubwa wanazotengeneza na wote walilazimika kugawana na Mameneja wao kwa kupunjwa walipoanza hawakujali kwa sababu walijua vipaji vyao vitawabeba tu kama Diamond. .guys Wasanii tafuteni washauri wenye AKILI KUBWAZZ kuliko zenu sio wewe na meneja wako wote mnavuta gademu Bangi now nani atamsaidia mwenziwe ndio Mtaishia kugombania kampeni za Uchaguzi amukeni wanaowagombanisha na Joe & Ruge hawako tayari kuwekeza kwenye Vipaji vyenu ila kuwatumia tu baada ya Vipaji vyenu kuwa Discovered na Clouds BADILIKENI NOW mazafantazz! - le Mutuz

0 comments:

Post a Comment