Morning guys jana kwa mara ya kwanza nilikutana one on one na Mgombea Urais Dr. Magufuli I am Criminologist and Political Science Analyist so nilikuwa ninamuangalia Body language all the times nimeona Confidence ya ajabu sana na sihitaji kurudia maana yake na huu Uchaguzi...now again kwa nini ninasema CCM tutashinda huu Uchaguzi ni FACT Kwamba CCM ndio Chama kikongwe Africa nzima sasa hivi ambacho kimekuwa in Power for the longest in Africa na ni FACT kwamba Africa nzima hakuna
Chama cha siasa chenye mtandao I mean Network kama CCM narudia tena kushinda Uchaguzi huu CCM tunahitaji kulilia kupigania numbers tu ni FACT kwamba CCM peke yake ndio yenye Jumuiya Strong kuliko vyama vyote vya siasa Tanzania now UVCCM wakipewa target ya kuhakikisha wanachama wake wote wanapiga kura na kwa ujumla wanatafuta kura Millioni 3 so is UWT na Wazazi hapakosekani kura MILLIONI 9 CCM yenyewe ikatafuta kura Millioni 3 tayari ni ushindi wa kishindo cause kwa ujumla wao hawatakosa kura Millioni 11..another FACT ni kwamba namba za Voters Dunia nzima huwa hazibadiliki sana so sio siri this time wapiga kura wataongezeka lakini hawatazidi Millioni 15 now for that number CCM ikihakikisha wanachama wote Millioni 8 wanapiga kura kuipigia CCM uchaguzi utaisha saa Tatu asubuhi Tarehe 25/10/2015.. jana ilikuwa zamu ya Rose Kamili waache wafu wazikane wenyewe CCM mbele kwa mbele! KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI! - le Mutuz

0 comments:
Post a Comment