Posted by Williammalecela.com on Thursday, September 10, 2015
kama kawaida hapa huwa ninapiga FACTS tu hutaki kuzimeza KUFWAZZ for me Baby...FACT hivi umegundua kwamba Wapinzani wote hawana la kumshambulia Magufuli na uwezo wake wa kuwa Rais isipokuwa wanaishambulia CCM ya enzi za Magufuli akiwa Chekechea yaani Shule ya Vidudu yaani Miaka 54 iliyopita hahaha....hawawezi kuishambulia CCM ya jana na juzi kwa sababu Viongozi wakuu wa CCM walikuwa Sumaye na Lowassa mgombea wao hata la Viongozi wa Serikali kuuziwa Nyumba linawashinda kwa sababu Lowassa na Sumaye nao wameuziwa nyumba hizo....kuongelea Ufisadi hawawezi maana mafisadi wakubwa wapo nao Chadema hahahaha ni kukosa kwao hoja na msimamo ndio maana sasa Gwajima na Roma Mkatoliki ndio Viongozi wa agenda yao ya Ndoa ya Dr. Slaa.....I mean unawezaje kumlaumu Rais Bill Clinton kwa makosa ya Truman, Franklin Roosevelt, Jimmy Carter na JF Kennedy wakati huo kama Magufuli Bill Clinton alikuwa Vidudu?hahahha jamani najaribu kuwapa uptodates kila siku kuhusu Uchaguzi na tupo wapi uamue mwenyewe! Hahahahaha JIONI NJEMA TUKUTANE 360 CLOUDS TV LEO SAA TATU USIKU LIVE U KNOW .....I am humbled! - le Mutuz
0 comments:
Post a Comment