
Ok we all have a turning point in our life siku ambayo matukio yaliyokutokea yalikufanya ubadilike na usiangalie tena nyuma hakuna the best thing kama kukutana na wale waliokuwa wanaku abuse utotoni cause then wao walionekana kuwa they have it all and ready made kumbe maisha yalikuwa ndio kwanza yanaanza mimi wengi wao nikikutana nao sasa huwa wanakimbia au wanajificha ficha kwa aibu binasfi sijawahi kunywa Pombe wala kuvuta Sigara so my Brain is sober as it can be nakumbuka kila kitu..now my point here is KUJITAMBUA sio kitu kidogo au cha mchezo kwenye maisha ya binadam Shetani atapigana mpaka mwisho kuhakikisha HUJITAMBUI ndio maana Wazungu wanasema "Count your blessings" binadam ukiweza Kujitambua unakuwa kwanza umemshinda Shetani na watu wake le Mburulazzz, haina sababu ya kuwachukia wanaojaribu kukushusha ila unapigana ku improve your life na in the process unapanuka akili na ndio matokeo yanaanza kuonekana in your life now le mburulazzz wanaanza kuisoma namba in you....Shetani huwa hakubali kirahisi watakutafutia kila maneno kukataa ukweli kwamba una AKILI KUBWAZZ kuliko wao usijali WATAKUELEWA TU MWISHONI, ninakumbuka nimerudi Bongo nimefikia nyumba ya Baba yangu ambayo siku zote ilikuwa tupu na mpaka leo nimeondoka haina mtu lakini wakaanza kunipigia makelele kila kona mtumzima anaishi kwa Baba yake hahaha then ikaja nikahamia kwangu Downtown aibu ikawakuta now the iron was mtu niliyekwenda Majuu kwa akili na nauli yangu kabla sijaondoka nilikuwa ninaishi kwangu Downtown Sido Hostel karibu na Maktaba then nimeishi Miaka 30 Majuu on my Own leo nirudi bongo kuja kumtegemea baba yangu please haha nilihitaji tu pa kuanzia and here I am kama kawa on my Own, my point is KUJITAMBUA ni pamoja na KUJITEGEMEA kwanza ndipo utUJIHESHIMU binadam wote tuna matatizo sio lazima uyavae usoni kila mtu ayaone kumbuka ili UHESHIMIWE ni lazima kwanza UJIHESHIMU! na heshima ni KUJITEGEMEA KWANZA! - le Mutuz
0 comments:
Post a Comment